Friday, 15 November 2013

Prezzo: "Huddah ni ‘mali ya serikali’, amelala na karibu dunia nzima"

Baada ya kupondwa na Huddah Monroe kuwa ‘amepigika’ mfalme wa bling, Rapcellency Prezzo ameamua kujibu mashambulizi na kusema uhusiano wake na Huddah ulikuwa wa kufanya mapenzi tu, basi.

Kwenye interview na Heads Up, Prezzo aliweka wazi kuwa ni kweli aliwahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na aliyekuwa mwakilishi huyo wa Kenya kwenye Big Brother Africa mwaka huu.

“Tuliwahi kukutana kama mara tatu hivi nadhani alipenda alichokipata. Alinogewa,”

Prezzo aliimbia Heads Up. Anadai kuwa Huddah amechukia kwasababu hakutaka kuendelea naye.

“Huddah ni kama mali ya serikali. Amelala na karibu dunia nzima. Unadhani rais anaweza kutulia na mwanamke kama huyo,”alihoji Prezzo. Alidai pia kuwa Huddah amekuwa akiwasumbua wanawake wote wengine aliowahi kuwa na uhusiano nao.

“Sijawahi kumjibu, lakini utagundua kuwa alimshambulia Goldie na Diva wa Tanzania.”

Wakati huo huo, Huddah amekuwa akitweet majibu ya kile alichokisema Prezzo:

"He has realised ,ain't got time for
him .That's why he is busy bringing
things of the past! @BigSistaAfrica
— THEE BOSS LADY
(@HUDDAHMONROE) November 15, 2013

"I don't wanna brag ,but I'm the best
you ever had.hehe!
— THEE BOSS LADY
(@HUDDAHMONROE) November 15, 2013

"Niggas don't bad mouth bitches they
don't have feelings for!
— THEE BOSS LADY
(@HUDDAHMONROE) November 15, 2013

"Strip Clubs tonight……..I wanna learn
how to strip so I can continue being a
government property.
— THEE BOSS LADY
(@HUDDAHMONROE) November 15, 2013

"I thought a nigga moved on LMFAO!
Anyways to all his bitches….
pic.twitter.com/3D5Mlavg6D
— THEE BOSS LADY
(@HUDDAHMONROE) November 15, 2013

"I'm not even mad.Busy spending my
own in a Tourist destination,that's why
u mad.Ain't got time for you!
— THEE BOSS LADY
(@HUDDAHMONROE) November 15, 2013

"He is the Tense that doesn't wanna be
past .LOL! How u put all your
emotions out to the media? Hahahaa!
@BigSistaAfrica
— THEE BOSS LADY
(@HUDDAHMONROE) November 15, 2013

"Life is so good.I dont need you,so just
let me be great!
— THEE BOSS LADY
(@HUDDAHMONROE) November 15, 2013

No comments:

Post a Comment