Sunday, 27 October 2013

BABAKE WEMA SEPETU AAGA DUNIA

Balozi Sepetu ameaga dunia mapema leo akiwa katika
hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari na kiharusi alioupata hivi karibuni mjini Zanzibar. Balozi Sepetu, ambaye pia ni baba mzazi wa Miss Tanzania 2006 , Wema Isaac Sepetu, hadi anapatwa na
ugonjwa na hatimaye mauti , alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment