Alot has been said about their break up bt what is the truth?
Lets find out from Wema Sepetu.
“Mimi na Naseeb (Diamond) tuliachana baada ya yeye kunicheat na Jokate. Nilikuwa sijui and maisha yangu yote tangia nimeanza mapenzi na Naseeb naweza kusema kuwa sikuwahi
kuwa unfaithful. I used to be very faithful to him na tulikuwa tunapendana sana. With
Naseeb nilikuwa nimesharidhika na maisha ambayo niko nayo na hata kama yalikuwanot good, whatever lakini tayari nilikuwa nipo satisfied with me and him nilikuwa tayari nimesharidhika naye.
Nadhani pia inacost mwanaume akishajua kwamba anakutawala in one way or another so labda ni shetani au ni ibilisi alimuingilia
baada ya kutaka kuanza kushoot video ya Mawazo ndo rumors zilianza, nikawa siamini
kwanza. Siku moja ndio nikapigiwa simu na rafiki yangu anafanya kazi Piccolo akaniambia ‘Diamond yuko hapa na Jokate na wanakiss’. Nilitoka, nikachukua taxi nikaenda mpaka Piccolo, kitu cha kwanza
niliona gari yake. Nilivyofika nikawakuta sijui wamewekeana miguu. Nilivyofika pale
nikawasalimia wakawa wako kimya na nimeona ile kitu nikawaaga nikaondoka zangu. Nikaliaaaa, amerudi wakati huo bado
tunaishi pamoja akanikutana napanga nguo, hakutaka kuongea sikutaka kuongea, tukachuniana, sikulala mimi na Naseeb
kitandani for one week. Anaiona ile hali lakini hataki kuanza. Nikachoka, nikaja tu siku nimepanga nguo zangu nikaenda kwa dada yangu ndio ikawa kimoja. Basi mimi nikamwacha akaendelea na maisha yake na
mimi nikaendelea na maisha yangu”.
There now that's the truth from the horse's mouth.
No comments:
Post a Comment